Alitokea kijijini na akuja kusoma mjini lakini alipokuwa na kidato cha pili alifiwa na baba yake, aliporudi toka kwenye msiba alibadilisha kabisa mtazamo wake na kuwa mtu wa maombi Bupe alikuwa anajitahidi kwenye kila upande wa masomo, alikuwa mwanafunzi wa kati sio mwanafunzi anaeongoza darasa
Alipofika kidato cha tatu alijua kuwa alikuwa na ugonjwa wa moyo, aliangalia mazinira ya nyumbani akaona ni lazima aende shule asome ili aje abadilishe maisha. Mazingira ya shule hayakuwa na kikwazo chochote kwenye masomo yake hivyo aliendelea kusoma kupambania maisha ya nyumbani kwao.
Alipomaliza kidato cha nne alichukuliwa na kaka yake na kwenda Dodoma ambapo alikuwa karibu nae kwa uangalizi zaid wa hali yake, hapo hali ilikuwa inakuwa mbaya kila wakati ila alikuwa akimtegemea Mungu, yeye na kaka yake walihangaika kutafuta dawa ya matatizo ya moyo lakini hawakufanikiwa
Kwa bahati mbaya alipomaliza kidato cha nne hakupangiwa shule hivyo aliendelea na maisha kwa upande mwingine kutaka kwenda chuo lakini baada ya miezi 3 toka wenzanke waende shule alichaguliwa second selection alipangiwa shule huko iringa na alienda kwa combination CBG
Alipokuwa kidato cha sita wakati wa mitihani wa mock alishidwa kabisa kwenda kufanya mitihani lakini aliomba afanyie kwenye chumba cha mapumziko, hivyo alifanya mitihani akiwa kitandani, mitihani ilienda kusahihishwa na alipata daraja la pili. Alipata nafuu na alipofika kufanya mitihani ya taifa alifanya viziuri na kupata daraja la pili
Hakufanikiwa kwenda kusoma university alienda kusoma deploma na kusomea Clinical officer amemaliza masomo yake kwa sasa anasubiri kupaniwa kazini amesherehekea siku yake ya kuzaliwa mwaka huu kwa pamoja na watoto yatima
Mungu aendelee kukupigania
Inspired by true story
No comments
Post a Comment