NJIA ZENYE CHANGAMOTO KWENYE KUSHUGHULIKIA NIDHAMU



Kuwaambia tu kile ambacho si sahihi:

 Kufanya kwa kumwambia mtoto mambo ambayo hawatakiwi kufanya kunawafanya wasikie makosa tu na hicho ndicho watakachokifanya maana ndio wanachosikia 

Kufanya makosa wakati tunawarudi:

Mfano motto amekuja kukushitakia kuwa mwenzake kampiga wewe unamwita mwenzke na kumwambia “ we mpumbavu kwanini umempiga mwenzako?” hapo ni kuwa, mtoto kampiga mwenzako na wewe umemtukana mtoto

Kukemea matendo yasiyohitajika:

sisi katika kukuza watoto tuna vitu vingi sana ambavyo ni “usifanuye……..” hatuwaambii watoto wanachotakiwa kufanya. Kwa sababau hawana wanachotakiwa kufanya hujikuta wakiwa wanafanya walichoambiwa wasifanye

Kuwafanya watoto wafuate sharia kwa kuweka vitisho vya adhabu:

Watoto siku zote watatafuta njia za kukimbia adhabu hata ukiwa unawarudi hawatasema kitu kama hujatumia njia ambayo ni sahihi

Kutokujihusisha na mabo ya watoto kwa ukaribu kwa kuwa walishasomewa sheria:

Usichukulie kuwasomea sharia kuwa ndio umemaliza, kwa akili za watoto hata huwa hawakumbuki kwasababu wamesomewa ila wakizitunga hilo ni swala la tofauti

Kuwakemea na kudhuru mwiliwakati wa kuwarudi

Kuwaadhibu na kuwakemea pale wanapowakosea wengine bila kujali usuluhishi:

Mfano,mtoto anakushtakia mwenzane alafu umamwita mwingine na kumchapa lisha maisha yanaendelea hilo ni kosa

Kutokutambua na kutoendeleza vipaji vyao:

 

Kutokujali tabia za watu wazima wanaowahudumia watoto kama kioo ambacho watoto hujiangalia

 

Kuwaadhibu watoto wanapofanya makosa bila kuwasaidia kuyaelewa vizuri makosa yao na Athari zake

Kuwaunganisha watoto na tabia zao na kuwapa majina mabaya mf mwizi

 

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo