VITU VYA KUZINGATIA UKIWA NA MIAKA 18 - 35

1.  


Tengeneza connection

Unapaswa kuwa network nzuri chagua watu wanaokuzidi sehemu tofauti tofauti hao watakufundisha vitu vipya ambavyo hukuwa unavijua

 

Weka muda walau masaa mawili kila siku kujifunza stadi mbalimbali. Jifunze

·         Kusikiliza zaidi ya kuongea

·         Jinzi nzuri ya kuuliza maswali

·         Jinsi ya kuzungumza kulingana na mazingira

2.   Kuwa mzoefu

Tafuta maeneo ambayo utakuwa mbobevu, vitu vichache ambavyo utavifahamu zaidi na kuwa na taarifa za kutosha juu ya hivyo vitu, hii itakupa kuaminika. Jitahidi b

Wakati unafika miaka 30 uwe

·         Umesafiri walau sehemu tano tofauti

·         Umemtafuta mentor ambae utakuwa unajifunza kutoka kwake

 

3.   Jifunze stadi  mpya

Stadi mbalimbali ni aina nyingine ya kupata kipato Jifunze stadi mpya tafuta kama masaa 2 kila siku kujifunza:

·         Stadi mpya mfano: kuongea mbele za watu unaweza kuwa MC

·         Tengeneza social media account instagram, facebook ama youtube

·         Uza uwezo wako kwa kutumua social media account

              Ni ngumu kufanukuwa kwa chanzo kimoja cha kipato. Hizi ni stadi zinazo ingiza kipato zadi

·         Kuuza bidhaa mtandaoni

·         Kutengeneza website

 

4.   Wekeza

Hakuna kiwano cha mwisho ambacho umewekewa cha kuweza kutengeneza hela fanya mpaka upate unazozihitaji mpaka uwe na miaka 30

·         Umwe umefungua walau biashara 5 au zaidi

·         Soma vitabu vingi

·         Nunua assets

5.    Tulia, kuwa na familia

Tafuta mwenza kwa hali na mali. Tuliza akili sana ikifikia kwenye hili swala wala usiwe na papara, unaoa mwenzi wa maisha sio pambo la nyumba, oa/olewa na mtu atakaekusaidia

·         Kiuchumi

·         Kimawazo

·         Maamuzi sahihi

Oa/olewa na “team playeratakekusaidia kukua sio kukuua

6.    Kuwa na marafiki wachache wenye faida

Kuwa na marafiki wachache watakaoukuwepo muda wote unapowahitaji. Rafiki wa kila mtu si rafiki wa yeyote. Hata Yesu alikuwa na wanafunzi watatu wa karibu waliokuwa nae sehemu zote, Petro, Yohana na Yakobo.

Mit 18:24 SUV

Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.

Tafuta marafiki watakaoambatana na wewe kwenye

·         Mafanikio

·         Uwekezaji

·         Mbinu za biashara

 

7.    Fanya mazoezi

Punguza visingizio na ufanye mazoezi kila siku fanya hivii:

·         Pushups 910x200

·         Squats 910x150

·         Reverse dips 910x200

·         Planks 91minutes x5)

Baada ya siku 180 utanishukuru

 

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo