Swali
Je wanandoa kuzoeana kuna weza kupunuza upendo kati yao?
Majibu
Upendo uliopo kwenye ndoa ni ”Phileo” upendo huu ni upendo sababu wewe unafanya nini kwa mwenzako(what you provide). Endapo hufanya lolote kwa mwenzako huwezi kupata upendo huu, mfano mke ata muhudumia mume domestically na mume ataprovide vitu necessary kwenye familia
Upendo kupungua kunategemea sana na mtazamo wa wahusika kulingana na Bishop T.D Jakes anasema kuwa ndoa nyingi zinavunjika watu wakifika uzeeni kwasababu lengo la ndoa zao ilikuwa kupata na kulea watoto. Ila anashauri ndoa inapaswa kuwa na lengo ambalo ni kubwa zaidi na lisiloisha kulingana na umri wa ndoa mfano kufikia watu wenye mahitaji. Hivyo upendo utakuwepo sababu mna cha kufanya wote wawili
No comments
Post a Comment