1. KUEPUKA/KUJITOA (AVOIDANCE)
· Upande mmoja hubaki bila kutimiziwa matakwa yake, jambo ambalo linaweza kufanya mgogoro uibuke baadae
· Katika mbinu hii hisia zinafunikwa na kuumiza watu kimya kimya
2. KULAZIMISHA HAKI YAKO (FORCING)
· Mbinu hii huvunja uhusiano
· Upande mmoja “ulioshindwa” mara nyingi hujipanga na kulipiza kisasi
3. KUKUBALI KUPOTEZA/KUACHILIA (ACCOMMODATION)
· Mbinu hii haisaidii kuibua chimbuko la mgogoro
· Upande uliokubali kuachilia unaweza kujenga chuki
4. KILA UPANDE KUKUBALI KUPOTEZA (COMPROMISING)
· Ni nadra kufikia muafaka wa pande zote
· Huwezi kuchukua mazungumzo ya muda mrefu
5. KUSHIRIKIANA/KUTATUA TATIZO (PROBLEM SOLVING)
· Ni njia nzuri lakini inahitaji muda na uvumilivu wa pande zote
· Kuna uwezekano wa watu wanaohusika kuchoka akili na kujitoa kwenye mazungumzo
No comments
Post a Comment