1: WANAWAKE WAZURI ZAIDI
-Inahitaji Roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo awe ndani ya ndoa.
-Wako kwenye mahitaji makubwa
-Wanadada wengi warembo bado hawajaolewana ukujiuliza ni nini kinawaweka
-Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa
2:.WANAWAKE WENYE ELIMU ZAIDI
-Mwanamke akiwa na degree, masters, PhD inabidi abaki kwenye ndoa kwa neema ya Mungu tu
-Sifa zao huwafanya wawe huru.
-Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri ni waseja, wametalikiana.
3:WANAWAKE KUTOKA KWA FAMILIA TAJIRI
-Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo katia ndoa.
-Hawataki kushauriwa
4: WANAWAKE WAPAKWA MAFUTA SANA YA MUNU
- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika
- Hakuna wakati wa kufanya kazi za nyumbani
-Hakuna muda wa kuwajali waume zao
-Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.
Utakuta mwanaume ana Phd anaenda kijijini na kuoa mwanamke wa darasa la 7, anatafuta nini??? Kwa sababu huyo ndiye atamuelewa na kumheshimu zaidi.
Kunena kwa lugha kamwe hakutakufanya kuwa mke, ni mwanamke mtiifu pekee ndiye atakayebaki kwenye ndoa na sio uzuri na mengineyo.
No comments
Post a Comment