1.
Jua muda ulio nao
Jua muda ulio nao ambao unatakiwa kufanya kazi, sio kila saa utafanya kazi kama hujui basi tambua hili. Kuna muda wa mapumziko ya kula na vikao, muda huo wewe haufanyi kazi jua muda ulio nao kisha panga mambo yako kulingana na muda uliopo
2. Tumia MIT
MIT ni Most Important Thing. Jua vitu gani ni vya muhimu na ufanye kwanza. MIT ni kitu ambacho kitarahisisha vitu vingine kufanyika kirahisi
3. Unataka siku yako iisheje?
Kwani wewe unataka siku yako iisheje? Kama una mipango na siku yako itaisha vipi basi utaanza kuipanga toka mapema
Usipatikane kirahisi
Usijibu meseji pale inapoingia tu tulia kidogo, uonekane basi kwamba una kazi unayotakiwa kuifanya ukijibu kila meseji unapunguza muda wako wa kufanya kazi
5. Punguza vitu vinavyokupotezea muda
Unatumia walau dakika 23 ili kurudi kwenye utulivu maada ya kupata kitu kinachokuvuruga kwahiyo hebu weka simu yako silence ili usisikie meseji, email wala instagram notification
6. Sema HAPANA
Ni kusema tu HAPANA si una kazi ya kufanya basi sema HAPANA
7. Tumia teknolojia
List kila kitu unachotaka kufanya alafu kwa kila unachotaka kufanya tafuta mobile App itakayokusaidia kufanya kuna kila kitu kwenye simu yako siku hizi
No comments
Post a Comment