KANUNI 10 ZA FEDHA


1. Unapaswa kuwa na fedha ya akiba na taadhari walau inayoweza kutosha mwaka mzima

2. Weka akiba ya 10% na wekeza 20% kiasi hicho unakitoa kwenye mshahara wako kabla ya makato

3. Tafuta jinsi ya kulipia huduma kwa gharama nafuu, kama ni cash au kwa simu au kwa benki hii inasaidia kupunguza gharama zisizo za lazima

4. Nunua kitu imara kisha kitunze kununua kitu feki au ambacho si imara kitakulazimu kununua kitu hicho mara nyingi na ni gharama zaidi

5. Tunza muda kwa kufanya kitu ambacho kinaingiza kipato

6. Fanya shughuli mbalimbali zinazokuingizia kipato acha aibu za kijinga

7. Oa/ olewa na mtu sahihi, ushauri wake ni muhimu sana

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo